Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Yaani ka tumewapa maji halafu wakatupa pombe.....Suarez kazingiua pale..Hamna attacks kama za first half zile amsha amsha pressure ya adui inapanda inashuka
Yaani ka tumewapa maji halafu wakatupa pombe.....Suarez kazingiua pale..Hamna attacks kama za first half zile amsha amsha pressure ya adui inapanda inashuka
I thought they were asked abt their favorite team ?Neymar & Coutinho in 2008:
What is the club of your dreams?
Coutinho: Real Madrid. It's the best team in the world.
Neymar: Real Madrid
![]()
Hauzwi na alishakataa mwenyewe anaelekea miaka miwili update ya mkataba wake itafanyikaKosa ambalo ninaomba lisije kufanyika ni Barca wasije wakamuuza Umtiti yule jamaaanatufaa sana pale mahali pake kwakweli.
Afadhali kwakweli,hizo ni habari njema kwangu moyo wangu una amani sasa.Hauzwi na alishakataa mwenye anaelekea miaka miwili update ya mkataba wake itafanyika
Kitu cha 3 mkuuKipindi cha pili tumezingua game
Ha ha not exactly lakini alichokua anakifanya Macherano leo kimenistua na huu uamuzi wao wa kumuuzaNamuona Thomas ni bora zaidi ya pique
Malizia Ronaldo scored 4 goals out of which 3 are penaltiesAnother win
Another clean sheet
Still unbeaten
Paulinho scored again !!! 7 goals this season ...more than any midfielder in the Laliga this season ......
Better than Modric ,Kroos ,Casemiro He has more goals than Ronaldo in the Laliga this season



So what?Neymar & Coutinho in 2008:
What is the club of your dreams?
Coutinho: Real Madrid. It's the best team in the world.
Neymar: Real Madrid
![]()

Angekuwa yule mbaguzi pep huenda angemuuza, pep anapenda sana wakatalunya. Sitamsahau kwa kumuondoa eto'o na kutuletea Ibrahimovic.Kosa ambalo ninaomba lisije kufanyika ni Barca wasije wakamuuza Umtiti yule jamaaanatufaa sana pale mahali pake kwakweli.
Pique alinikosha sana Classico. Kwa sasa ninaona Barca ina mabeki bora saaaana, inabidi kupata viungo walau wawili wa maana na kule mbele kutafuta mnyama mmoja wa ziada.Jamani Thomas varmalen sikuizi kawa ninja mno
I thought they were asked abt their favorite team ?
No wonder Madrid 2008-2007 went trophyless
So far Coutinho paid part of his transfer fee do you want to tell me he still loves blancos?he sacrificed playing UCL to Barcelona do you want to tell me he loves Madrid?
You are building your conclusion from ufounded facts and logics