FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kwa kweli kundi hili liko powa kuliko hata huko Wasap....Kundi si ndiyo hili hapa. Tulia hapa utapata habari zote huko kwenye makundi kuna matapeli.
Kwa kweli kundi hili liko powa kuliko hata huko Wasap....Kundi si ndiyo hili hapa. Tulia hapa utapata habari zote huko kwenye makundi kuna matapeli.
Eeeehhhh!!!!!Tetesi
Nyota wa Barcelona Lionel Messi ametaka Philippe Coutinho kuwepo katika kikosi cha kwanza badala ya Ousmane Dembele. (Diario Gol)
Ok poapoaKundi si ndiyo hili hapa. Tulia hapa utapata habari zote huko kwenye makundi kuna matapeli.
kwani leo ni April fools day????Tetesi
Nyota wa Barcelona Lionel Messi ametaka Philippe Coutinho kuwepo katika kikosi cha kwanza badala ya Ousmane Dembele. (Diario Gol)
Ndiyo nashangaakwani leo ni April fools day????
kwani leo ni April fools day????
Messi is far to clever to say this shitI put tetesi tag so u have to understand its meaning.
From Barcelona official instagram account
Kesho imeitwa ni Coutinho day ,atafanyiwa medical examination na kutambulishwa pia doors will be open mapema kabisa Camp Nou
View attachment 670453

Sio shida so long as yupo upande wetuFundi out for 3 weeks ....daah![]()
Tetesi
Nyota wa Barcelona Lionel Messi ametaka Philippe Coutinho kuwepo katika kikosi cha kwanza badala ya Ousmane Dembele. (Diario Gol)
Ndo kapewa 14 eti????Anasubiri ya Masherano (14) au Arda Turan (7) ambao watasepa hivi Karibuni Mkuu.
Sio shida so long as yupo upande wetu
Huo ni uwongo!!!!Eenhee!!!!
Habar mbaya sana![]()
![]()
![]()
![]()
Huo ni uwongo!!!!
Messi is far to clever to say this shit
Lazima wafurahi hasa madridogsJapo ni nzuri sana kwa wale loserpool/liverfools
Sijui kisa first match....ila anaanza kuonyesha mwangaKwa kweli japo nakubali our man dembouz, anauwoga uwoga flani ivi kapoteza mipira sana jana
Lazima wafurahi hasa madridogs