FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


9a9a0adf38a80a01ab1c124a155bdf9e.jpg


Nshapata kajibu kumbe ni Ke
 
Tetesi
Barca yafanikiwa kumpata kwa €11.5m Mina


Barcelona wamekubali kutoa €11.5 milioni kumnunua Yerry Mina kutoka Palmeiras Sport.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Colombia amekuwa chanzo cha vita kali baina ya Catalan na Wabrazili hao wiki za hivi karibuni. Mina anatarajiwa kutua Barcelona kukamilisha uhamisho wake wiki hii.
 
Philippe Coutinho amethibitisha kwamba amepokea maneno ya pongezi kutoka kwa nyota mwenzake wa Brazil Neymar kufuatia kujiunga na Barcelona
Nyota huyo mwenye miaka 25 siku ya Jumatatu amekamilisha dili lake la kujiunga Nou Camp kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 142
Coutinho kwa sasa yupo nyuma ya Neymar kwenye orodha ya wachezaji ghali duniani, baada ya mshambuliaji huyo kuwa ghalimu PSG paundi milioni 198 kuinasa saini yake
"Nina cheza na Neymar timu ya Taifa na tumekuwa marafiki tangu tuko wadogo" Coutinho aliwaambia ripota. "Alinipongeza na aliniambia mimi kwamba kuna vyumba vya kubadilishia vizuri.
"Luis Suarez and Paulinho pia wameaniambia mimi kuwa wanazani nitakuwa na maisha mazuri hapa
Coutinho hatoweza kucheza Barcelona kwa sasa hadi mwezi wa pili baada ya kusumbuliwa ma maumivu madogo
 
Tetesi

Arsenal na Liverpool wana nia ya kumsaini kiungo wa kati wa Barcelona na Croatia Ivan Rakitic, 29, ambaye anataka kuondoka kufuatia kuwasili kwa Philippe Coutinho. (Diariogol - in Spanish)
 
Tetesi

Arsenal na Liverpool wana nia ya kumsaini kiungo wa kati wa Barcelona na Croatia Ivan Rakitic, 29, ambaye anataka kuondoka kufuatia kuwasili kwa Philippe Coutinho. (Diariogol - in Spanish)
Abaki huko huko garasa huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom