mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Kwa taarifa yako usiamini magazeti ya udakuHakuna haja ya kuuwana mkuu, mi nimepost tu jinsi a Brazilian News paper wrote today na watu wengine waone. Tunashare habari mkuu au?
Kwa taarifa yako usiamini magazeti ya udakuHakuna haja ya kuuwana mkuu, mi nimepost tu jinsi a Brazilian News paper wrote today na watu wengine waone. Tunashare habari mkuu au?
Yule na ubaguzi wake alinikera sana.Angekuwa yule mbaguzi pep huenda angemuuza, pep anapenda sana wakatalunya. Sitamsahau kwa kumuondoa eto'o na kutuletea Ibrahimovic.
Sure MkuuKipindi cha pili tumezingua game
Daah! Mbona Varmaline kama yuko powa tu kwa game ambazo kacheza hadi sasa.Hapa wa kuuzwa ni Thomas Vermalene Macherano aachwe
Sure Mkuu!Namuona Thomas ni bora zaidi ya pique
Arthur anafaa, sijui atatua January hii ?Pique alinikosha sana Classico. Kwa sasa ninaona Barca ina mabeki bora saaaana, inabidi kupata viungo walau wawili wa maana na kule mbele kutafuta mnyama mmoja wa ziada.
Master wa injuries huyo hana guaranteeDaah! Mbona Varmaline kama yuko powa tu kwa game ambazo kacheza hadi sasa.
Ha ha hapanaMkuu unachuki binafisi tu na Thomas
PIQUE ndio roho ya defence Barca,kuwepo kwake kuna stabalise defence,cause anatumia akili kuliko brute force-Namuona Thomas ni bora zaidi ya pique
Hapana mkuu....Pique ana offer vitu vingi sanaNamuona Thomas ni bora zaidi ya pique
bila pique el classico ya juzi tungekuwa tunalia sasa hiviHapana mkuu....Pique ana offer vitu vingi sana
Ni kweli...zile pasi za Madrid za kuingiza ndani ya 18 yetu Mara nyingi alikuwa akizizuia yeye....alifanya block za kutosha...ubora wa vermailen(spellings may be wrong) ulichangiwa na uwepo wa pique pale...ni yeye ndiye alieyeondoa pressure kwenye defense..bila pique el classico ya juzi tungekuwa tunalia sasa hivi
Pique anafanya art of defending ionekane very easy,composure yake inafanya defence iwe na confidence forages zake mbele hues zinazaa goalsNi kweli...zile pasi za Madrid za kuingiza ndani ya 18 yetu Mara nyingi alikuwa akizizuia yeye....alifanya block za kutosha...ubora wa vermailen(spellings may be wrong) ulichangiwa na uwepo wa pique pale...ni yeye ndiye alieyeondoa pressure kwenye defense..
Ndo manake.....pique anastaafia barcaPique anafanya art of defending ionekane very easy,composure yake inafanya defence iwe na confidence forages zake mbele hues zinazaa goals
Ila mi naonaga Umtiti ni mnoma sana! Spain pale hamna CB kisiki kama yeye. Pasi zake utasema MD. Nimeshammiss. Sijui anarudi lini.Namuona Thomas ni bora zaidi ya pique