FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yeri Mina Kesho Anatua Kwa Ajili ya Vipimo.
28d58696cf36503ee6c11d48765fc064.jpg
 
Contract agreement zilisema ivyo kuwa anataka Jersey namba 10
Basi kama ni ishu ya Contract kumbe ni suala ambalo linawezekana kwa mchezaji mwenye binafsi kupendekeza anataka kitu gani na siyo kwa 100% haiwezekani kwa mujibu wa sheria namba 79 as you mentioned!
 
Am speechless mkuu. Nipo hapa napanga kikosi kikiwa na coutinho ndani. Najaribu kupanga kikosi hapa. Majembe yamejaa hadi nachanganyikiwa. Hapa nimepata 4213 kule mbele coutinho, Dembele na suarez. Messi anakaa kama playmaker pale nakuwa na double pivot ya Busi na Iniesta. Sema iniesta kuwa kwenye double pivot ni kumunderutilize. Ukisikia watu wanasema kikosi kipana basi ndiyo sisi. Nipangie kikosi mkuu🙂🙂
Suarez anakuwa lone striker,nyuma yake Messi,kulia Dembele,kushoto Coutinho-hapo ni mvua ya mawe tu.Suarez kila saa atakuwa anatikisa nyavu maana hiyo supply line ni hatari-wakati huohuo Paulino appearing from nowhere to create more havoc
 
Screenshot_2018-01-07-17-23-56-1.png

Thanks God Macherano leo anacheza nadhani technical board hawajakubaliana moja kwa moja Macherano aondoke wameamua kumjaribisha safi sana mimi nina 100% asiondoke japo umri unamtupa ila bado anakipiga fresh kushinda hata Pique

Dembele leo ataanzishwa ,moja ya vitu vinavyomkabili ni pressure kutoka Barca fans ku prove je ile hela ilienda kihalali? (This is natural kwa binadamu) pili ni adaptability ya Barca style so kama kawaida yetu fans tumchukulie kama yai letu tunalolilea lisivunjike with time ata cope na ta deliver as expected. Team kama barca ni world class thats watu sometimes wanakua aggressive pili world class players like Iniesta, Messi,Suarez wanakua na tabia yakumeza uwezo wa player automatically
 
Suarez anakuwa lone striker,nyuma yake Messi,kulia Dembele,kushoto Coutinho-hapo ni mvua ya mawe tu.Suarez kila saa atakuwa anatikisa nyavu maana hiyo supply line ni hatari-wakati huohuo Paulino appearing from nowhere to create more havoc
Patakuwa panachimbika mpaka basi yaani
 
View attachment 670307
Thanks God Macherano leo anacheza nadhani technical board hawajakubaliana moja kwa moja Macherano aondoke wameamua kumjaribisha safi sana mimi nina 100% asiondoke japo umri unamtupa ila bado anakipiga fresh kushinda hata Pique

Dembele leo ataanzishwa ,moja ya vitu vinavyomkabili ni pressure kutoka Barca fans ku prove je ile hela ilienda kihalali? (This is natural kwa binadamu) pili ni adaptability ya Barca style so kama kawaida yetu fans tumchukulie kama yai letu tunalolilea lisivunjike with time ata cope na ta deliver as expected. Team kama barca ni world class thats watu sometimes wanakua aggressive pili world class players like Iniesta, Messi,Suarez wanakua na tabia yakumeza uwezo wa player automatically
Inasemekana ndiyo itakuwa game ya mwisho kwa Masherano,Yerry Mina Anatua kesho kama mbadara wake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom