Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Inavyoonekana World class players are willing to play with Messi compared to Cristiano..
I think its all about Barcelona and not Messi.Inavyoonekana World class players are willing to play with Messi compared to Cristiano..
Mkuu barcelona inavutia sana sio mess tu toka kipind pale mbele yupo rivaldo,cluivert na figo nlikuwa napenda sana kuangalia gem zao na kwa uwekezaji huu wa sasa wa kina coutinho sina nenoInavyoonekana World class players are willing to play with Messi compared to Cristiano..
Kwa ninayo sikia kuhusu Griezman (spellings may not be correct) kama yakitokea kweli....sioni timu itakayoiumiza kichwa Barcelona duniani...Mkuu barcelona inavutia sana sio mess tu toka kipind pale mbele yupo rivaldo,cluivert na figo nlikuwa napenda sana kuangalia gem zao na kwa uwekezaji huu wa sasa wa kina coutinho sina neno
Naungana na ww asilimia zote mkuu mana hata mkipak bus ni maumivu tu kwa usajili huo tayar ni shida naiman coutinho atafanya vizur mno mfumo unamruhusu.Kwa ninayo sikia kuhusu Griezman (spellings may not be correct) kama yakitokea kweli....sioni timu itakayoiumiza kichwa Barcelona duniani...
You may be right but in recent(this season excluded),Madrid ameonekana kupata matokeo compared to barcaI think its all about Barcelona and not Messi.
Exactly mkuu.....naona kazi ya messi kurudi sana kati itakuwa imepungua....kwa ninavyomjua coutinho,Messi na Suarez wakipata zile pasi zilizokuwa zinachezewa na firminho pamoja na mane,naona the flowing of goals kwakweli....bado na ile mi 'ndizi' yake...Naungana na ww asilimia zote mkuu mana hata mkipak bus ni maumivu tu kwa usajili huo tayar ni shida naiman coutinho atafanya vizur mno mfumo unamruhusu.
Umesahau volumeNawahakikishia wakuu kwamba Barca fans hakuna tena kuugua wala kuwa na pressure wakati timu yetu itakapokuwa inacheza. Sana sana labda tutauugua density tu badala ya pressure

Yeah kwa 7bu tutakuwa tunashinda kwa goli za kutosha sanaUmesahau volume![]()
![]()
![]()
![]()
7View attachment 670264
Namba ngapiii???