mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Finally Messi atapumzika kazi za kati mwenyewe ameshakujahakuna mtu ambae anaumia kama neymar maana barca tumeshusha mnyama aiseee itakuwa messi anawaita wadogo zake countinho na dembele karibu wampe pasi
Sasa angalia anavyotaka kutupia magoli
Formation ya sasa hivi sitashangaa tukianza mvua zaid ya za Man city