FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yote tisa ina maana NIKE,waliijua hii transfer before,au wameshiriki kumleta Courtinho Barcelona-kweli we live in a world of murky shady deals.Nakumbuka Nike wamewahi ilazimisha Brazil imchezeshe mchezaji mgonjwa katika final ya kombe la dunia
Coutinho ilikuwa asajiliwe Barca last summer ,ukiangalia tangazo la usajili wake kwenye facebook account ya Barca linaonyesha tarehe ya mwaka jana
 
9cbbf78775473bd69791b54c632f67a9.jpg

Huyu jamaa mapema January
Nilisema!!!!!
 
Madridiots are currently shivering right now.Last time,they couldnt handle only Messi and Suarez,now barcelona has added to their misery by signing Coutinho and Dembele is back. Imagine Messi,Coutinho,Suarez and Dembele against real madrid in the el classico,Madrid will be teared to pieces
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom