Na BBC imedumu miaka mingapi?wamechukua laliga mara ngapi?MSN imedumu miaka 3 lakini ndani ya hiyo miaka 3 wamechukua champions league Mara 1 Madrid kachukua Mara 2
MSN VS real Madrid, dawa yenu ipo tayari Kaoge unitedMSN imedumu miaka 3 lakini ndani ya hiyo miaka 3 wamechukua champions league Mara 1 Madrid kachukua Mara 2
Wachovu hawa ntawapiga sana,Mwaka huu hawa paka wa zidane hata tukiwapiga goli 7 sitashangaa
Madrid kipaumbele chetu ni ligi ya mabingwa,kwa taarifa yako Madrid imechukua ubingwa wa ulaya Mara 12 sawa na timu zote za English league.Na BBC imedumu miaka mingapi?wamechukua laliga mara ngapi?
Kabla ya yote Benzema ana magoli mangapi laliga?UCL?
Mko nafasi ya ngapi league?
View attachment 669853
Sisi huyu jamaa its finally over we cant believe our eyes aisee tumemlilia saaanaa
I bet Velverde atamchezesha left winger he is good too,huyu jamaa anacheza nafasi nyingi sana kama Messi au Iniesta anaweza kupiga no 9,7,11,10,8 etc kule kote mbele anavuruga and he is so good in scoring (offensive/holding midfielder) and very ambitious usichukulie easy mtu amejilipia sehemu ya ada ya uhamisho na aka sacrifice UCL ambako Liverpool ni still contestant
Very loyal ,very passion with Barcelona
Weee kipaumbele kitakuaje league ambayo unatakiwa u qualify home league?Madrid kipaumbele chetu ni ligi ya mabingwa,kwa taarifa yako Madrid imechukua ubingwa wa ulaya Mara 12 sawa na timu zote za English league.
Man u (3),Liverpool (5),Nottingham(2),Chelsea(1) na Aston villa(1)
Nikikupa records za real ulaya utalala mapema bureWeee kipaumbele kitakuaje league ambayo unatakiwa u qualify home league?
Sasa bakia nafasi ya nne kama utacheza UEFA
Huyu jamaa sijui anaota anataja ubingwa ambao watu walikua kwenye iron age hukoReal Madrid imechukua ubingwa Mara 12 idadi sawa na taifa lote la Italy,Ac Milan(7),inter Milan (3),juventus(2)
Hauna records yoyote ya maana zaida utakua unarudia UEFA uefa au na kombe ulilomfunga Al shabaab juzi linakuchanganya niniNikikupa records za real ulaya utalala mapema bure
Ngoja akuje ili awapelekee salamu madridiotsNawaita wote waje waone chama la wana
Unanswerable questions.......lazima akimbie....Na BBC imedumu miaka mingapi?wamechukua laliga mara ngapi?
Kabla ya yote Benzema ana magoli mangapi laliga?UCL?
Mko nafasi ya ngapi league?

Hawa NIKE walitangaza usajili wa Pogba siku mbili kablaYote tisa ina maana NIKE,waliijua hii transfer before,au wameshiriki kumleta Courtinho Barcelona-kweli we live in a world of murky shady deals.Nakumbuka Nike wamewahi ilazimisha Brazil imchezeshe mchezaji mgonjwa katika final ya kombe la dunia
Sasa tumekuomba ututajie timu hapa????...... Jibu maswali yote!!!!!Madrid kipaumbele chetu ni ligi ya mabingwa,kwa taarifa yako Madrid imechukua ubingwa wa ulaya Mara 12 sawa na timu zote za English league.
Man u (3),Liverpool (5),Nottingham(2),Chelsea(1) na Aston villa(1)
Huyu jamaa sijui anaota anataja ubingwa ambao watu walikua kwenye iron age huko
kwanza ilipendekezwa Yale mataji waliyochukua mfululizo 1960/61-1965/66 yanAtakiwa yafutwe..View attachment 669934
Huu ni uuaji Barcelona
Ha ha ha mtaa wa pili yanagonga chupi yanarudi ndani
Cc PAGAN Salamander hii ni salamu