mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Utajisikia aibu this time sibahatishi wala sipapasii with evidencesnaitunza hii.
Utajisikia aibu this time sibahatishi wala sipapasii with evidencesnaitunza hii.
Asee Sergio , Radika mmenichekesha sana!!!!! Mmenifanya nilale vzr kabisa huku nikimsubiri couthapa sergio manchester inahusika vip? tuyaache hayo tushasalimiana amani mkuu.
Amani sana mkuu
Ameshafika na wameshamtangaza verified barcelona account instagram na TwitterAsee Sergio , Radika mmenichekesha sana!!!!! Mmenifanya nilale vzr kabisa huku nikimsubiri cout![]()
Coutinho has just arrived in Barcelona (muendelezo wa habari kesho atakaa jukwaani kuangalia maych na levante Camp Nou)
Cc jackline 1 FineForever PAGAN sergio 5 Khalidoun Numbisa ROBERTO 20 Mume Wenu etc etc

Saf sanaAmeshafika na wameshamtangaza verified barcelona account instagram na Twitter
sahivi ni mwendo wa magoli tu.. Sergio kampa paulinho,paulinho kampa coutinho,coutinho kapiga pande ikamkuta king messi,king messi kafinya kisha kamwekea dembele,dembele kamchungulia Suarez....kamba *****....barca 4 madridiots 0......Ntakua navuruga hawa mbwa kuanzia tano kwenda juuMadriodiots wanaloa nje ndani kama kawaida yetu this season
Mwaka huu hawa paka wa zidane hata tukiwapiga goli 7 sitashangaaNtakua navuruga hawa mbwa kuanzia tano kwenda juu
Huyo Numbisa ni MadridCoutinho has just arrived in Barcelona (muendelezo wa habari kesho atakaa jukwaani kuangalia maych na levante Camp Nou)
Cc jackline 1 FineForever PAGAN sergio 5 Khalidoun Numbisa ROBERTO 20 Mume Wenu etc etc
Nawaita wote waje waone chama la wanaHuyo Numbisa ni Madrid