Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Kampitie mwezako (mviziaji wa mpira) mwende Morocco jamaa anawachemshia dawa yenu.
Kampitie mwezako (mviziaji wa mpira) mwende Morocco jamaa anawachemshia dawa yenu.
Hahahaaaaa... Kabla na baada ya mambo kubuma.hivi si kuna home and away
Mkuu hata tukiwakosi messi na suarez,.
.sidhani ka celtA wana quality players wa kutushinda siye
Angalia hizo post nimezitoa muda gani babake.....!!!!!!!Hahahaaaaa... Kabla na baada ya mambo kubuma.
Naona wazee wa kuvizia wamelipa kile kichapo tulichowashushia (El-classico) kwa hawa madogo...
Unaposema madogo utafikiri wao wanacheza ledeNaona wazee wa kuvizia wamelipa kile kichapo tulichowashushia (El-classico) kwa hawa madogo...
Nawaita madogo kwa 7bu hawapo Ligi Kuu (Laliga).Unaposema madogo utafikiri wao wanacheza lede
Mmecheza na vilema wenzenu ndyo maana mmetamba
Quality na wachezi wa numacia haina tofauti na wacheza wa taifa jango'mbeUnaposema madogo utafikiri wao wanacheza lede
Hao taifa Jang'ombe na Numancia huwa wanakuwaga wamechutama uwanjani.? Acheni sababu zisizo na msingiQuality na wachezi wa numacia haina tofauti na wacheza wa taifa jango'mbe
Ungewafunga barca hizo goal 3 ningekuona kidume cha mbegu lakni kumfunga numacia nakuona upo kama marehemu kaogeHao taifa Jang'ombe na Numancia huwa wanakuwaga wamechutama uwanjani.? Acheni sababu zisizo na msingi
Kapigie kelele huko.......Dada wwHao taifa Jang'ombe na Numancia huwa wanakuwaga wamechutama uwanjani.? Acheni sababu zisizo na msingi
Umeshasahau ulivyokojelewa vitatu kwenu na viwili kwetu eeh.Ungewafunga barca hizo goal 3 ningekuona kidume cha mbegu lakni kumfunga numacia nakuona upo kama marehemu kaoge
Acha uwendawazimu sisi huwa tubawabandua mbele na nyuma na hatuongei sana mizigo hadi ya goal 6Umeshasahau ulivyokojelewa vitatu kwenu na viwili kwetu eeh.
Kwa hiyo tukusaidiaje.....???Nyie panyalona mna kelele wakati msimu mzima mmeshia kushamgilia el classico tu tena yakusaidiwa na refalona
Vyovyote vile hakuna linalokuhusu. Pambana na yakoNyie panyalona mna kelele wakati msimu mzima mmeshia kushamgilia el classico tu tena yakusaidiwa na refalona
We punguani unaleta stori za kusadikika hapa.Acha uwendawazimu sisi huwa tubawabandua mbele na nyuma na hatuongei sana mizigo hadi ya goal 6
Goal 6 kwa 2 mwaka 2009 umezisahau au ulikuwa bado unanyonya?We punguani unaleta stori za kusadikika hapa.