Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
wapi nilipoandika yananihusu?Vyovyote vile hakuna linalokuhusu. Pambana na yako
wapi nilipoandika yananihusu?Vyovyote vile hakuna linalokuhusu. Pambana na yako
Jisaidieni wenyeweKwa hiyo tukusaidiaje.....???
Ulipopost tu kuhusu sisi ni ili iweje.wapi nilipoandika yananihusu?
Tuliza kijambio.....Jisaidieni wenyewe
Mnapokuja kwetu kupost ili iweje pi?Ulipopost tu kuhusu sisi ni ili iweje.
chezesha kinyeo hicho.Tuliza kijambio.....
Barca hatunaga maneno ya hivi nenda zako uzi wenu wa madridiotsTuliza kijambio.....
We si ndiyo Alonso 14....nenda madridogs ukamsifie vzr huyo mtu wako...Barca hatunaga maneno ya hivi nenda zako uzi wenu wa madridiots
Naona ushaanza kujitoa ufahamuWe si ndiyo Alonso 14....nenda madridogs ukamsifie vzr huyo mtu wako...
Unataka ubishe au..???Naona ushaanza kujitoa ufahamu
Padri mcharo naona umekuja na ID nyingneUnataka ubishe au..???
Hhhhhhhh...aliyekwambia mi mcharo nan....ka unamwita ngoj mwenyewe aje,mpondane ka mlivyozoea.....mi usinihusishe ndugu...Padri mcharo naona umekuja na ID nyingne
Nan mcharo mbna unang'ang'aniza ndugu.....Log out tu uingie na ID ya padri mcharo uje utukane
Toa hizo evidence zako..Endelea kubisha nitoe evidence za kufa mtu
Ulikua wapi wewe kijanaLog out tu uingie na ID ya padri mcharo uje utukane
Afadhali umejiongeza ....Utajinyea bure ngoja nikaushe
Pole sana mkuuDah! Nilikuwa natumikia adhabu ya ban ya mwezi mzima boss
Tulikuwakilisha hadi Padri Mcharo tukamtafutia bwana kaolewa mashaka yetu sijui kama atadumu kwenye ndoaNimeshapoa boss lakn nashukuru vijana hawakuniangusha



Huyu yeye alikunywa maji ya bendera kada anaugulia tu maumivu ya gari yao mbovu tarehe 23-01-2018 anakutana na Valencia sijui itakuaje?Salamander yupo hai?
Swahiba vp.....leo umeamkaje..???Afadhali umejiongeza ....