Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mkuu swahiba wangu huyo.....Wala si padri mcharo.....wakati mwingine anatalk fresh ila mtu akimuuzi ndo hivyo.....ni mwanabarca damudamuUtajinyea bure ngoja nikaushe
Mkuu swahiba wangu huyo.....Wala si padri mcharo.....wakati mwingine anatalk fresh ila mtu akimuuzi ndo hivyo.....ni mwanabarca damudamuUtajinyea bure ngoja nikaushe
Sawa ila nadhani anakufamu....alikuwa kule kwenye jukwaa la siasa akapigwa ban....amerudi kivingine.....msamehe bure sipendi kuona wanabarca mkizozana hadi kutukananaMwambie awe makini na hii sura otherwise ataumia
Bac haina noma.....ngoj nimwite..Poa poa
Daah!!!! Acha2Swahiba vp.....leo umeamkaje..???
Mkuu tusameheane bure....Poa poa
Nakuona mkuu naona leo umeibuka kisiasa zaidiDaah!!!! Acha2
Sawa nashukuru mkuu...Yameisha mkuu
Mmhhhh Mr Mike........cjui hata ilikuwaje......Nakuona mkuu naona leo umeibuka kisiasa zaidi
Naona ulijua kuna kina mbowe humu....walitaka kukupa hadi cheo cha mcharo hhhhhhhhMmhhhh Mr Mike........cjui hata ilikuwaje......
HhhhNaona ulijua kuna kina mbowe humu....walitaka kukupa hadi cheo cha mcharo hhhhhhhh

Hhhh![]()
![]()
![]()
Inabidi nije kivingine humu.......unaweza kula za uso....ukachekwa mpaka na mama yoyo![]()
![]()
![]()
Asante swahiba .......ngoj niende misele hhhhhhhhhhhhhh utani mwiiiiingi....anyway krb viwanjani mr
ka kawaida yako......p baadayeAsante swahiba .......ngoj niende misele hhhhhh
Tulikuwakilisha hadi Padri Mcharo tukamtafutia bwana kaolewa mashaka yetu sijui kama atadumu kwenye ndoa
Kuhusu PAGAN hatujui yuko wapi kwa sababu aliahidi kujinyonga tukimfunga goli 3 bila
Welcome back madidiot!Sikujinyonga season tuliyokwenda Trophyless, ntajinyonga kipindi ambacho tumechukua 5 silverware? Don't you know that we have a lot to celebrate? Mi nipo humu JF kila leo. We enjoy the good run bro. You deserve it.
Ha ha ha sikukuona bro long time we missed you ,uwe unakuja bana kijiweni kwako hapa banaSikujinyonga season tuliyokwenda Trophyless, ntajinyonga kipindi ambacho tumechukua 5 silverware? Don't you know that we have a lot to celebrate? Mi nipo humu JF kila leo. We enjoy the good run bro. You deserve it.