Naweza cheki kupitia channel ganHT 1-1
Mi na stream. Ila azam watakuwa wanaonyesha. Naona Dembele anataka kuzama.Naweza cheki kupitia channel gan
Hamna Azam na hawaonyeshagi Copa de leyMi na stream. Ila azam watakuwa wanaonyesha. Naona Dembele anataka kuzama.
Azam wana license ya kuonyesha Laliga tuu Copa del Rey ni mashindano mengine.Hamna Azam na hawaonyeshagi Copa de ley
Mkuu hata tukiwakosi messi na suarez,.Messi na Suarez hawapo hata bench, itakuwa ngumu wale jamaa wana shambulia sana
Yes tarehe 11 mwezi huu wanakuja pale machinjio ya Camp Nouhivi si kuna home and away
Hata hawa vijana wamejitaidi kucheza vizuri mkuu.barcelona bila messi ni bure kabisa...hawana tofauti na Njombe mji
pique,vidal,suarez ni vijana hao?Hata hawa vijana wamejitaidi kucheza vizuri mkuu.
Daah!!!! vzr San,a lazima wakaeYes tarehe 11 mwezi huu wanakuja pale machinjio ya Camp Nou
Kikosi kizima kilichocheza leo mkubwa hapo ni Pique ana 30 kamili wengine wote ni kuanzia 20-28.pique,vidal,suarez ni vijana hao?
Sawa umesikikabarcelona bila messi ni bure kabisa...hawana tofauti na Njombe mji