Messi na Suarez hawapo hata bench, itakuwa ngumu wale jamaa wana shambulia sanaWadau mechi ya Leo barca na Celta vigo vip wadau
Unajua hii ni league 1 mwanzo kabisa mwa msimu nadhani kwa kufanya hivyo barca wanaweza kushindwa Leo......lakini real Madrid na numancia natabiri usindiMessi na Suarez hawapo hata bench, itakuwa ngumu wale jamaa wana shambulia sana
Let's wait and see what will happenUnajua hii ni league 1 mwanzo kabisa mwa msimu nadhani kwa kufanya hivyo barca wanaweza kushindwa Leo......lakini real Madrid na numancia natabiri usindi
PamojaLet's wait and see what will happen
Ha ha haMkuu this time huu usajiri ukibuma tutakuteka
Wamewekwa Jose Anaiz na Carles Arena so Paulinho ndo atakayeongoza mashambulizi in short coach amewa underestimateMessi na Suarez hawapo hata bench, itakuwa ngumu wale jamaa wana shambulia sana
These kids will surprise you, just wait and see!Wamewekwa Jose Anaiz na Carles Arena so Paulinho ndo atakayeongoza mashambulizi in short coach amewa underestimate
Ninawafahamu sana....ni noma hawa tena leo wanapewa full time lazima wakinukishe wachukue permanent number za watu ambao tunataka kusafisha storeThese kids will surprise you, just wait and see!
Teh.. Kua kijana utaacha ukichoka.Ndio nakubikiri hivi, huumii?
Afadhari umekubali niendelee kukula, nikichoka kweli ntakuachaTeh.. Kua kijana utaacha ukichoka.
KabisaMkuu this time huu usajiri ukibuma tutakuteka
Subiri hatua ya 16 bora UCL mwezi wa pili, na uhakika kauli yako hiyo lazima utakuja kukiana tuNyie wachovu na wabebwaji mpo
Kampitie mwezako (mviziaji wa mpira) mwende Morocco jamaa anawachemshia dawa yenu.Kaeni hapo hapo dawa yenu inachemka
wakitupiga sana ni droo tu, vinginevyo tunawakwida kama kawa tu. Subiri muda utaongea MkuuMessi na Suarez hawapo hata bench, itakuwa ngumu wale jamaa wana shambulia sana
Here... swadakta na jinsi tulivyo mashabili wengi wa Barca kwenye internet the name litakua viral soonUsiharibu jina la fundi uyo anaitwa José arnaiz magufulification
Tutashinda tuu hii game mkuu, tuwe na subira kidogo.Dah. Tumepigwa goli la ajabu 1-1. Namuona masquito bench pale.