Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kuna mjinga ataiga hii tena
FORCA BARCAHongereni sana team yangu barca japo nilikula ban lakn nashukuru kwa mlichowafanyia hao wahafidhina
Hell to the king ha ha ha Messi bana analeta raha ...tutapata shida sana kupata replacement yake na utatu wao Xavi,iniesta na MessiView attachment 658004
Kuna mjinga ataiga hii tena
View attachment 658009
Hivi wakuu huyu jamaa mwamwelewa??!!!!
Kwa nn Jana asingeingia Dennis wanaingiza huyu mfuga ndevu
Amekosa nafasi ya wazi kbs Jana anapaisha.
Hayupo kwenye ubora wake kabisa
Tuna barca b ipo vzr sanaHell to the king ha ha ha Messi bana analeta raha ...tutapata shida sana kupata replacement yake na utatu wao Xavi,iniesta na Messi
Mkuu Messi10 hachez mpira wa sayari hii ndio maana hizi tuzo za dunian hazimfai kwa sasaWanaompaga CR7 zawadi ya mchezaji bora wa dunia huwa siwaelewi. Huwa wanaona kuwa Messi anacheza mpira wa safari hii? Hovyo kabisa!!
Ni wakati wake kuuzwa sasaNa hajawahi kukaa kwenye ubora huyo me natangaza officially ni flop hajaweza ku adapt Barca style
Hata wewe upo huku kumbe?Kwetu rahaaaaaaaaaa!

Usimsahau Sergi Roberto 20!!!!!!!!My analysis:
Due credits to Sergio Busquets, kama kawaida yake kila kitu kilianzia kwake.
Alikua very composed tunaposhambuliwa, kuna wakati alitaka kuniua kwa presha vile alivyopaka rangi mpira karibu na box letu kabla ya kuanzisha move ya goli la kwanza
Nitakosa adabu kama nikiacha kumtaja Professor Andres Iniesta kwa yale aliyoyafanya.
Madrid walijazana nyuma, ila magics za iniesta zilitosha kuwaunlock. A life time contract with Barca proves how important he is!
Kule mbele Messi alifanya kama anavyofanyaga, akawakanyaga kama alivyozoea kuwakanyaga. Ile second half kuna wakati nilihisi ni Barca Vs Granada.
Last but not least, Paulinho is a beast! Yani jamaa zile controls, dribbling na speed yake ni hatari. His passes are lethal. Yani jamaa kampunguzia Messi kazi ya kuzama deep kwenye midfield.
One thing I know, Jana tumeshinda Laliga and el classico at once!
![]()
![]()
![]()
![]()

Neymar JR da Silva Santos!!!!!!!

Nakosaje kwa mfano!!!Hata wewe upo huku kumbe?
Neymar JR da Silva Santos!!!!!!!
Wacha aponde zake raha na mamilioni anayolipwa Paris!!!
Anawasubir Madidiots wakuje awakunkule!!!!![]()
![]()
Huyu Ramos kwanini afuati nyayo za Pique?? cool,calm and composed.Ramos ilikuwa huruma ya refa-kile kibao alichompiga Suarez ilikuwa straight redJana pique kapiga kazi vzr mno
Second half alikuwa anapanda mpaka raha
What a talented defender!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()