Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
countino kama akisajiliwa kwenye dirisha dogo hatocheza UEFA
Kwahiyo mtazamo wako ni upi mkuu?countino kama akisajiliwa kwenye dirisha dogo hatocheza UEFA
Naona ushawachokoza na majirani kwaoHaloo!! Wakuu, Napenda kukutakieni YOTE MEMA, katiki msimu huu wa Sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya, 2018. MBARIKIWE DAIMA.![]()

I'll go for Sergio BusquetsHivi Barca ukimuondoa Messi katika equation ni mchezaji gani anaweza kuwa wa kwanza kwenye team sheet?
That means Busquets baada ya Messi anafuatia kwa ubora Barca??I'll go for Sergio Busquets
Nikiangalia jinsi iniesta anavyokua injury prone Siku hizi, sina budi kuiacha kura yangu kwa Busquets.kwa hiyo
That means Busquets baada ya Messi anafuatia kwa ubora Barca??
Jinsi msimu unavyoenda ina maana ujamnotice kabisa Ter Stergen???Nikiangalia jinsi iniesta anavyokua injury prone Siku hizi, sina budi kuiacha kura yangu kwa Busquets.
Iniesta is just a little below Messi's level, ila kwa sasa Busquets ni reliable than Iniesta.
What do you think?
Stergen is damn good, ila uzito wa defense yetu kipindi hiki ni moja kati ya vitu vinavyompa kiburiJinsi msimu unavyoenda ina maana ujamnotice kabisa Ter Stergen???
Gazzetti za Spain zinasema Ter Stegen ni no mbili Barca baada ya Messi,yanasema amekuwa anafuta magoli ya wazi kabisaStergen is damn good, ila uzito wa defense yetu kipindi hiki ni moja kati ya vitu vinavyompa kiburi
Probably, jamaa yuko form sana kwa sasa.Gazzetti za Spain zinasema Ter Stegen ni no mbili Barca baada ya Messi,yanasema amekuwa anafuta magoli ya wazi kabisa
Mkuu unapointi sana sijui kama umeligundua hiloJinsi msimu unavyoenda ina maana ujamnotice kabisa Ter Stergen???
Inavyoonekana fani yako kuimba taarabuBARCELONA siipendi hii timu basi tu
Sasa tukusaidie uipende au tukusaidie nini mkuu?BARCELONA siipendi hii timu basi tu
Nyie mashabiki wa Penaldo na Mama ester utd Barcelona inawatesa maisha yenu yoooteBARCELONA siipendi hii timu basi tu