Sawa mkuubarc mbovu sana... dah
Mkuu mbona nashindwa kuingia
Nilisema hawa watu watakula nyekundu sasa yametimia.Ni kweli game ni ngumu ila kwa uchezaji huu wa majirani zangu mpaka sasa naona watakula nyekundu japo wanaweza wakatufunga.
Tram ina gays piga haoooPiga mbwaa...mamaea
Kama mm tu kichwa kimetulia sasaHapa kichwa kimetulia sasa
Na kweli ndio hilo hapo. Kwisha habari yao.Ha ha Penaldo limebakia moja goli la 3 trust me