GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Huyu dogo akicheza midfielder yuko vzr sanaAmewaramba vyenga vingi sana Madrid leo
Huyu dogo akicheza midfielder yuko vzr sanaAmewaramba vyenga vingi sana Madrid leo
Hahaaaa hapa sasa mmeaza kutofautianaMadrid wana mfumo wa wanachama ka yanga![]()
![]()
Tunachangamshana 2 hatuwezi tofautianaHahaaaa hapa sasa mmeaza kutofautiana

Yule boya acha aige, ndoto zake n kumfikia La pulgaYule boya flani na hii ataiga, kama ya kuvua jezi aliiga hii muda utaongea
Yule boya acha aige, ndoto zake n kumfikia La pulga
Mkuu wewe mshabiki wa upande gani?Mpira hauna uadui
View attachment 657895
Mkuu wewe mshabiki wa upande gani?
Ohho pole sana, lkn inaonesha nimshabiki mkomavu sana. VzrR.Madrid
Ohho pole sana, lkn inaonesha nimshabiki mkomavu sana. Vzr
Ile tuzo inakua sponsored na Perez so usishangae lakini dunia ina judge na tunaonaWanaompaga CR7 zawadi ya mchezaji bora wa dunia huwa siwaelewi. Huwa wanaona kuwa Messi anacheza mpira wa safari hii? Hovyo kabisa!!
ExactlyAaaah S.Roberto kocha ameshatambua is good akicheza midfielder, baada ya kutoka Iniesta na kuingia Semedo ni mzuri sana kama holding midfielder basi haina haja ya kumleta Coutinho its better tulete winger kwanza ambaye na propose awe Griezman (left ) halafu kulia Dembele fireeeee Madrid El Classico inayofuata lazima akae goli 6 hadi 7 hivi...
