FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna "Memes" Kibao, Barca Wamezitupia kwny App yao ya Barcelona Live. Kifupi nimecheka balaa yaani hadi watu wakanishangaa....meno 34 nje yote 2, hahahaaa.

Hizi hapa ni baadhi...
Yakwanza hii
a308afd4d5b5f211e9fbcad07b078a06.jpg

Nyingine hii hapa
4f489752d3eeb3d7cc4f73e63a63850a.jpg
 
Habari zenu Wakuu! Hongereni kwa ushindi murua kabisa, nilipenda saaana kushinda humu ndani na kwenda kuchafua jukwaa la Madrid ila kwa sasa simu yangu kimeharibika, nadunduiza ili nipate pesa nikanunue. Kila la heri wakuu, salamu ziwafikie chelsea, na msimu ujao tutakua moto saaana maana nnaamini Coutinho atatua Camp Nou. Heri ya Christmass na Mwaka mpya.
 
Pole sana, I hope you will be back very soon. Allah afungue milango yako ya riziki halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom