FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

"HERE PEOPLE'S THINKING ENDS ... MESSI'S SKILL STARTS FROM THERE"

Comment ya mdau 1 huko ALL FOOTBALL APP

5d9fc7f5db049663633e350f7d27155e.jpg

Usajili wa January
 
Kuna dogo mmoja anaitwa Arthur, ana dribbling ya hatari tukimpata huyuu
 
Aisee sikujua mkuu, kweli huyu ni Mfalme

Huyu ndiye mfalme original,,,, kila mechi anaperfom vizuri tena zaidi na zaidi kuliko mchezaji yeyote kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.....kuna maradona na pele,,, ila huyu kiumbe ni zaidi ya mfalme.....unatamani kila dakika awe na mpira mguuni,,, kwa wachache mno wasiompenda wanatamani mpira usimpate 😀😀 hahahahaaa ni kitu ambacho hakiwezekani na wala hakitatokea kwa mfalme huyu.
 
Kwa uwezo alionao, ukitaka uelezee maajabu na uwezo alionao, hakika hata nyasi na maji yote juu ya uso wa dunia hii yageuke kuwa kalamu na wino kamwe huwezi maliza kuelezea
302300156c7d0e08cb8a504d1593e35f.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom