rasmi namuondoa kwenye mika yangu mbavu zako barcTuwe tu wakweli kuna timu kweli hapa?
View attachment 3545022
Juzi mashabiki wa Barca walikuwa wanaitukana Atletico kuwa inazikazia timu kubwa halafu inakuja kupoteza dhidi ya timu ndogo.rasmi namuondoa kwenye mika yangu mbavu zako barc
sajo angalia changamoto za mgeni na mwenyeji kwenye hii pichaUnapo mlaumu Barca kwa kuchana mkeka wako unapaswa ukumbuke Barca alipoongoza bao 1 Muhindi alikupa cashout ila kwa tamaa zako ukajifanya hujaiona.
View attachment 3545032
Ha ha haaaa, mgeni anautamani kabisa msosi ila anavunga ameshiba.sajo angalia changamoto za mgeni na mwenyeji kwenye hii picha
NAam, ndo utamaduni wa kitanzania huu, mambo ya ajabu sanaHa ha haaaa, mgeni anautamani kabisa msosi ila anavunga ameshiba.
Mwenyeji anabembeleza mpaka kumletea chapati usoni kabisa😄😄 ndio baadae mgeni akubali kula, anasema, nitie baraka kidogo tu.😄
Tunazingua sana aisee
Jana alikuwepo ndio kitu kinacho wauma mashabikiBarcelona akikosekana raphinha tu hamna timu ipigwe tu hakuna namna