FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sahau mabadiliko ya tabianchi… tishio halisi kwa binadamu ni Chelsea kuibondabonda Barcelona 3-0 tena na tena tangu 2012 đŸ˜…. Hospitali duniani zinaripoti wimbi la ghafla la mashabiki wa Barcelona wanaohitaji tiba ya kisaikolojia, la sivyo watachanganyikiwa bila msaada wa haraka đŸ’™
 
Mtoto mchele mchele kitumbua tumekisasambua ipasavyo, binti mtamu mtoto m'bichi kabisa na huna maringoo đŸ˜‚đŸ˜‚đŸ˜‚đŸ˜‚đŸ˜‚
 
Screenshot_20251214-103226_Facebook.jpg
 
My wetu madrid hawezi kabisa kutukazia tukimuhitaji.

Tunajidundia na kujinywia tu kama togwa ya ngomani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom