FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Walau sisi kwenye zile 5 tulipata goli 2

Aisee mmenyanyaswa vibaya sana hadi nimewaonea huruma.

Dakika ya 90 lile shambulizi mlilokoswa hata mimi pale nilibana pumbu kuwasaidia msifungwe.
Madiriiidii ubane pumbu kbsa,ustione yatima sana😂😂
 
Hawa watoto wanaweza wakawa ng'ang'ania mpaka mwisho msipokuwa makini
 
Sitak kuamin barca wa 3 4 ndio kawa hv pole sana pambania hata sare mwanetu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sema hili goli sijui kama Barca hawata file complaints kwenye shirikisho dhidi ya marefa kama walivyofanya kwenye mechi dhidi ya Atletico.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom