hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,670
- 12,599
Utofauti wa sisi na nyie, sisi hatunaga malalamiko ya kishamba pale tunapopoteza mechi.
Ishu ni kuvuka hii hatua sio kushindaHawa atletico leo tunawapelekea moto sio poa.
Ngoja tuone game itaendaje.Ishu ni kuvuka hii hatua sio kushinda
3 hukoNgoja tuone game itaendaje.
Nenda Kalale tu utapata matokeo asubuhi.Atletico wanafungwa kirahisi mpaka kero sasa.
Niliishia hapa saizi nimerudi tenaNenda Kalale tu utapata matokeo asubuhi.
Lamine anakiwasha sio poa.
Naisubir kwa hamu.Busu la Kenge leo dogo Yamal anakiwasha na Newcastle.
Aaah aah unyama sana.Naisubir kwa hamu.