FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwani kuna mchezaji ambaye kila mechi anafanya vizuri? Mtaje kama yupo.

Halafu dogo katoka majeruhi ya mfululizo usisahau hilo.
Consistency

Mbappe na Lamine nani mwenye mwendelezo mzuri walau katika kila mechi mbili?
 
Kwani mbappe katoka majeruhi kama Yamal?

Yamal msimu ulioisha kaisaidia Barca kukukusanya makombe yote ya Spain huyo mbappe wako kawasaidia nini?

Na huu msimu bado kabisa haujaisha kaa kwa kutulia uinjoi shoo.

Chuki zako kwa dogo hazitokupeleka kokote.
 
Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.

Mfano Mbappe yeye akifunga halafu kukawa na uzembe wa mabeki ambao wanaigharimu timu kupoteza mchezo, sisi tutaangalia jukumu la mshambuliaji kwenye kufunga lilitimia.

Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.

Halafu unamuwekea excuse ya injury Lamine as if angecheza hizo mechi 4 angemfikia Mbappe. Haya nikisema kwenye hizo mechi nne umpe goli 4 atakuwa level sawa na Mbappe?

Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?

Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
 
Jude alitoka majeruhi Tena hii ni mechi sijui ya 4 vile.
Tena alifanyiwa upasuaji kbs.
Sasa dogo yeye jeraha la pubic area.
Haaaa
 
Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.

Mfano Mbappe yeye akifunga halafu kukawa na uzembe wa mabeki ambao wanaigharimu timu kupoteza mchezo, sisi tutaangalia jukumu la mshambuliaji kwenye kufunga lilitimia.

Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.

Halafu unamuwekea excuse ya injury Lamine as if angecheza hizo mechi 4 angemfikia Mbappe. Haya nikisema kwenye hizo mechi nne umpe goli 4 atakuwa level sawa na Mbappe?

Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?

Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
Afu kaka,
Last session real Madrid ilikuwa na shida kubwa sana eneo ya kati na mabeki zilikuwa mbovu zote.
Angalau msimu huu wamejitahidi kuleta.
Lkn bado Kuna mapungufu.
Kilichomfeliaha mbappe ni mabeki tu.

Team bado inasajili msimu ujao real Madrid itakuwa sawa kbs.
Maana wanenda kuondoka mapungufu
 
Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.
Sasa mbappe ana individual skills gani za kumzidi Yamal?
Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.
Kwahiyo uwezo wa mchezaji unaupima kwa kufunga magoli tu sio factor nyingine yoyote?

Kwanini Yamal alimaliza nafasi ya pili kwenye Ballon d'or wakati mbappe hata tano bora akuingia?

Waliompa Yamal nafasi ya pili walimpendelea au?
Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?
Kwani magoli peke yake ndio kigezo cha uchezaji bora?

Dembele anayeshika nafasi ya kwanza Ballon dor 2025 ana magoli mangapi na Mbappe aliyemaliza nafasi ya tisa ana magoli mangapi?
Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
Kama uchezaji bora unaamuliwa kwa kufunga pekee kati ya Harry Kane mwenye goli 12 na kacheza mechi 8 na mbappe mwenye goli 11 kacheza mechi 10 nani bora kwa mtazamo wako?
 
Refa alijitahidi kuwabeba lkn wapi
Eti kutubeba.

Kama kawaida yenu wazee wa malalamiko.

Barca kukufunga wewe sio jambo la kubebwa na refa.

Nimekufunga mechi zote msimu ulioisha tena kwa vipigo vikubwa vya 5-2 na 4-0 niambie refa gani alitubeba.

Tena hiyo game ya 5-2 tulipata red card na mkashindwa kutufunga.

No wonder jana mlishangilia kama watoto wadogo hamkuamini kama mmetufunga.

Yani jana mlishangilia kama mmechukua uefa.
 
Sasa mbappe ana individual skills gani za kumzidi Yamal?
Kwahiyo uwezo wa mchezaji unaupima kwa kufunga magoli tu sio factor nyingine yoyote?

Kwanini Yamal alimaliza nafasi ya pili kwenye Ballon d'or wakati mbappe hata tano bora akuingia?

Waliompa Yamal nafasi ya pili walimpendelea au?
Kwani magoli peke yake ndio kigezo cha uchezaji bora?

Dembele anayeshika nafasi ya kwanza Ballon dor 2025 ana magoli mangapi na Mbappe aliyemaliza nafasi ya tisa ana magoli mangapi?
Kama uchezaji bora unaamuliwa kwa kufunga pekee kati ya Harry Kane mwenye goli 12 na kacheza mechi 8 na mbappe mwenye goli 11 kacheza mechi 10 nani bora kwa mtazamo wako?
Inategemea na skills kwako ni kitu gani. Kama ni makeke ya kuuchezea mpira ni kweli Lamine ni bora kwa Mbappe.

Lakini kama skills zitaenda kwenye role ya nafasi yake kiwanjani kimajukumu, basi huwezi kusema Lamine anamzidi Mbappe.

Ballon D'or inafanyika kwa criteria nyingi huku kigezo kikubwa kikiiangaliwa kwa mafanikio ya timu. Pia ni mchakato unaokuwa voted.

Mafanikio ya timu yalimuangusha Mbappe kuwa top voted kwenye hizo nafasi.
 
Inategemea na skills kwako ni kitu gani. Kama ni makeke ya kuuchezea mpira ni kweli Lamine ni bora kwa Mbappe.
Usijifanye hujui maana ya football skills.

Hata makeke ya kuuchezea mpira ni skills.

Uwezo wa ku Dribble ni skills.

Kufunga ni skills.

Dogo hivyo vyote anavyo.

Tena msimu ulioisha kafunga magoli magumu mazuri na ya kiufundi sana compared to Mbappe

Au unabisha dogo hajafunga?

Mbappe kitu pekee alichompita yamal ni uwezo wa kufunga tu na kukimbia mabio kama kuku alokatwa kichwa vingine kaachwa mbali sana.

Licha ya migoli yake mbappe kamaliza nafasi ya 9 lakini dogo kamaliza nafasi ya pili akiwa na magoli machache kuliko mbappe

Unafikiri waliompa nafasi ya pili ni wajinga?
 
Dribbles ndio zilizompa nafasi ya kuwania Balon D'or?

Then, why Dembele abebe tuzo wakati stats zake kwenye dribbling ni ndogo kuliko Lamine?

Ukiwa mshambuliaji role yako ya kwanza ni kufunga ya pili ni ku assist hizo Dribbles ni ziada tu.

Yani ni sawa na role ya goli kipa, jukumu lake mama ni kudaka. Hayo maswala ya passing ability, ball control, shooting ability nk yanakuja baadaye huko.

Hayo maswala ya kusema aliuchezea mpira yanakuwa yana make sense kama yataenda kuleta impact kwenye matokeo ya mwisho. Je bada ya hizo dribbles ulifunga? Je uli assist?

Lakini kama tutabaini ulikuwa na dribbles nyingi ambazo hazikuzaa goli au assist, hizo dribbles zako zinakuwa pointless.
 
Naona umedandia point ya dribbles.

Kuna sehemu nimesema kudribble ndo kumempa Yamal nafasi ya pili?_
 
Mimi sijaku accuse kuwa umesema hivyo, ila nimekuuliza ikiwa kama unahisi hivyo.
 
1761566892024.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom