Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,848
- 17,506
Heshima mpe wewe inatosha sio Kila shabiki ampe heshima huyo MadridVery possible kumpita lkn apewe heshima yake
Heshima mpe wewe inatosha sio Kila shabiki ampe heshima huyo MadridVery possible kumpita lkn apewe heshima yake
Jamaa analazimisha Madrid apewe heshima.Heshima mpe wewe inatosha sio Kila shabiki ampe heshima huyo Madrid
Mechi na Hawa maboya msimu huu zimekua nyingi sana aiseeMda unazidi kuyoyoma mechi inakaribia.
Hii mechi muhimu sana kwetu.
Tukishinda hii mechi au hata draw itatupa nguvu sana ya kumalizia game zetu zilizobaki.
HujielewiBarcelona akifugwa Leo basi ubigwa unakua hatiani bcoz match na Athletic inaweza kuwa ngumu sana na ukizingatia tutakua ugenini na tutakua na pressure sana kwasabab itakua match ya mwisho wa league na pengine itakua ndo yakuamua ubigwa
Barcelona akifugwa Leo basi ubigwa unakua hatiani bcoz match na Athletic inaweza kuwa ngumu sana na ukizingatia tutakua ugenini na tutakua na pressure sana kwasabab itakua match ya mwisho wa league na pengine itakua ndo yakuamua ubigwa
Acha kuucheza mpira mdomoniPia ukizingatia at time inawezekana na Athletic akawa anapambana kuweza ku qualify UEFA bcoz sasa hivi tu ukiachana yupo nafasi ya 4 lakin haimpi uhakika wa UEFA endapo atazingua match zake bcoz Real Betis bado ananafasi bcoz Athletic na Villarreal wamemuacha point 4 tu....so Barcelona asipokua makini ubigwa utakua bye bye
Nimepitia post zako zote za karibuni kila Uzi unabishanaHujielewi
Sikucheza mpira bali nimeweka probability analysis...sikusema ndicho lazima kitokeeAcha kuucheza mpira mdomoni
Huyu Leo agongwe mapemaBaada ya kutoka kwenye kitchen party ya copa del ley leo tunaenda kumuoa madrid
Narudia tena we hujielewi Barcelona hii unaichukuliajeNimepitia post zako zote za karibuni kila Uzi unabishana
Sikucheza mpira bali nimeweka probability analysis...sikusema ndicho lazima kitokee