Sio penati tu.Wametunyima penalty
Dogo anacheza mpira huyu 🫡Anaitwa Raphael Dias Belloli.
View attachment 3331255
Mkuu ukweli ni kua hatuna beki wa nyuma. Hasa ikiwa balde na kounde hawapo. Viongozi walifanyie kazi hiloMsimu umeshaisha huu.
Tulichovuna tumevuna na tulichokosa tumekosa.
Mechi ya tar 15 na Espanyol tunaenda kutangaza ubingwa wa la liga.
Muhimu tujipange mwakani turudi tukiwa na nguvu zaidi.
Ondoa shaka mkuu lazima tuingie sokoni kuimarisha backline yetu inayovuja.Mkuu ukweli ni kua hatuna beki wa nyuma. Hasa ikiwa balde na kounde hawapo. Viongozi walifanyie kazi hilo
Wenyewe walikuwa wanaamini jana watatufunga.View attachment 3331559Vardrid Fans muda huu.
Unaweza kupiga hata danadana 5Ligi yenu ni dhaifu aisee haiwezekani timu b ichukue ubingwa kirahisi hivi na watoto wanaonyonya bado
Ligi gani sio dhaifu?Ligi yenu ni dhaifu aisee haiwezekani timu b ichukue ubingwa kirahisi hivi na watoto wanaonyonya bado
😂😂😂😂😂😂Ndo mana kumbe.
Kwahiyo unamalizia machungu kwa kufurahia Barca kutolewa.