Bado kwenye vitu vingi compared to Balde.
Uwezo wake wa kupanda juu na kushambulia as winger ni mdogo sana hali inayomfanya Raphina kurudi chini kuifuata mipira hivyo kumpunguzia Raphina uwezo wa kuingia ndani ku score.
Hawezi kujipanga vizuri na wenzie wakati tunashambiliwa ili ku set an off side trap.
Ana kasi ndogo hali inayomfanya ashindwe kumudu kucheza na winga zenye kasi zinampita kiwepesi sana.
Mbovu sana kwenye build up play hajiamini na mwepesi sana wa kupoteza pasi unapompa pressure kwa kum press.
Huwezo mdogo wa kudribble compared to Balde.
Inshort dogo bado sana.