FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona wanampaisha sana hadi hawa commentator nao nimewaona wana hiyo kitu.

Kuna mmoja katoa nukuu sijui ya nani kuwa eti baada ya ile game ya kwanza jinsi dogo alivyo perfom anaona kama sasa ameshaona kila kitu na sasa yuko tayari kufa kwa amani
Yamal ni overrated Kama ansu fati tu, wange muacha acheze boli badala ya kumuimbia taarab.

at his age yuko gud, shida expectations ziko high kinyama.
 
Inter ana mchezo mgumu sana asee.
mImi naona Barcelona vijana wake hawana nguvu. Ile physic. We angalia Dimarco anavyomchezea Yamal kwa kutumia nguvu. Hata Cubasi na Martinez hiyo ni sawa na light weight vs heavy weight. Pia kule pembeni kwa Martin. Anapambana na Demfries. Ni shida.
Flinks afanye hivi. Amtie Cubasi amoandishe Arouja. Olmo aende bench apande Femini. Pia Martinez atoke aingie Gavi.
Inter Hii game watashindakwa kutumia nguvu zaidi kuliko uwezo.
 
Mkuu Scars unaionaje hii gemu Kuna uwezekano Barca kurudisha goli mbil
Inter wanafikiwa sana kwenye eneo lao na hiyo inasababisha muda mwingi mpira uchezwe kwenye zone yao.

Hiyo ndio inanipa wasiwasi sana kwasababu kwenye zone yako unaweza kujikuta umecheza faulo ambayo adhabu yake ni penati.

Lakini naamini pia kuwa hiyo ndio ilikuwa plan yao kuwaruhusu Barca wacheze eneo lao ili wao wacheze Counter attack.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom