Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,576
- 1,398
Sasa mimi una uhakika gani ni shabiki wa madrid?Mashabiki wa RMA wamehamia Inter sasa tunakuja kuwakanda San Siro
Then mtahamia PSG tunawakanda tena
Mamaé round hii mtateseka sana
Na bado tukikutana tena tunawakanda
Mimi kuja kusema msiwabeze Inter na kujipa matumaini makubwa ya kupita kuliko uhalisia tayari nimekua madrid?