Gerald Martin hafai kucheza bado hawez kuhandle pressureGerlad Martin hayuko vizuri ila Balde atakuwepo kwenye first leg against Inter.
Uwepo wa Balde unamraisishia sana kazi Raphina upande wake.
Final ni final tuuHawa watoto inatakiwa wawe serious, hii match ilikuwa ya kuisha kipindi cha kwanza tu.
Kabisa.Hawa watoto inatakiwa wawe serious, hii match ilikuwa ya kuisha kipindi cha kwanza tu.
Dah Mungu saidia watoto wamechoka hawa mnoHatujamaliza biashara bado.
Next match na Inter Milan 30 April.
Leo kilichotukost ni pengo la Balde tuuKabisa.
Watoto hawako serious kabisa.
Mimi na feel kama Madrid ametufunga tu.
Madrid hii sio ya kwenda nayo extra time.
Dogo bado sana.Gerald Martin hafai kucheza bado hawez kuhandle pressure
Na zile nafasi za ukatili lewandowskiLeo kilichotukost ni pengo la Balde tuu
Vip fort hawezi gusa kule au kounde??Dogo bado sana.
Pengo la Balde limeonekana dhahiri.
Tunatoboa vizuri tu.Dah Mungu saidia watoto wamechoka hawa mno
Torres yupo formNa zile nafasi za ukatili lewandowski
Fort ni mzuri akicheza right back sio left.Vip fort hawezi gusa kule au kounde??
Torres kapiga goli zuri sana.Torres yupo form
Ndio maana mechi ya Dortmund na Celta Vigo Kuna wachezaji walipumzishwa ila wabongo Kwa ujuaji walimlaumu kochaTunatoboa vizuri tu.
Japo madogo wamechoka.
Fatigue sio poa madogo wanatumika sana.
Na avunje sisi tunachohitaji ni ushindi tu.Tunakoelekea mbape ata atavunja record ya kufunga kwenye hii deby
Akafosi tuu kounde.. fort acheze RBFort ni mzuri akicheza right back sio left.
Kounde pia ni mzuri right au center back.
Hii nafasi ya Balde inatutesa sana.