FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bayern Wanatinga Nusu Fainali KIBABE ✊ FT': Barcelona 2 - 8 Bayern München ⚽4' Müller ⚽7' Alaba (OG) ⚽22' Perisic ⚽28' Gnabry ⚽31' Müller ⚽57' Suarez ⚽63' Kimmich ⚽82' Lewandowski ⚽85' Coutinho ⚽89' Coutinho
 
Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievement

Tunapozungumzia performance kuna individual performance na Collective performance...

Hapa unapogusia makombe hayo ni Collective Performance.. Kuanzia mfagiaji hadi Uongozi wa juu...

Ndo maana Team ikishuka anayefukuzwa ni Kocha...

Kwanini Kocha?


Kwa sababu yeye ndiye Kiunganishi cha wote..

Yeye ndo mtendaji mkuu, anayesimamia shughuli za kila siku za kisoka...

Ukisema Messi kasababisha au anasababisha Team idrop una maana wachezaji wengne ni bora kumzidi.. na Messi kafail kutimiza majukumu yake (hachezi vizuri tena)

Hapa ungetuambia Mfungaji bora wa Barcelona ni Back (Pique, Lenglet au Semedo )

Ungetuambia Messi amezidiwa hadi assists na Alba nk

Unasema Messi kashuka kwa kuangalia ufungaji magoal, wakati huo yeye ndo Mfungaji bora, sio Barça tu ila La Liga nzima...

Unasema Messi kashuka kiwango kwa kugusia Umri wake, maajabu sana .

Kuhusu umri Barcelona hawezi kufanya mabadiliko ya wakati mmoja kwa wakuwauza wachezaji, hapana mabadiliko yanakuwa ya taratibu,


Team kubwa kama Barcelona na Madrid hazifanyi mambo Kwa kubahatisha

Ndo maana Madrid akina Ramos, Modric bado wapo... Replacement infanyika taratibu...

Hivyo hivyo Kwa Barcelona...

Kwa Barcelona Messi ni zaidi ya mchezaji tumwonavyo..

Messi ni Nembo ya La Liga.. Hawezi kutoka kama tunavyodhani


Messi Hawezi kuuzwa, japo kweli itafika muda wa ukomo wa kucheza...


Messi ni MBUZI
Messi ni mbuzi iliyopigwa bao 8.
 
IMG_3214.jpg
 
Bayern Wanatinga Nusu Fainali KIBABE FT': Barcelona 2 - 8 Bayern München 4' Müller 7' Alaba (OG) 22' Perisic 28' Gnabry 31' Müller 57' Suarez 63' Kimmich 82' Lewandowski 85' Coutinho 89' Coutinho
Timu Messi kule kwetu sijui wana hali gani. Sema tu hawapatikani. Wakatalunya mai futi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom