Tuwaulize nini? Kundi lako kule Man United litapigwa na SevillaWaulizeni wenzenu Chelsea walichofanyiwa



Hao ni wakata umeme.kosa kubwa sana la barca leo kama ataanza sergio roberto na yule Vidal
Barca sio VARDRIDBarca leo ni kichapo tu....... Labda angekuwepo Neimar wangesalimika
Tukipita hapa hakuna wa kutuzuia huko mbeleni.Hili kombe letu mazee ..tukaze makalio tusitoke kapa..
Viva Barca..
#CFC![]()
Na pale kati lazima De Jong akae dimbani na Ivan Rakitic.kosa kubwa sana la barca leo kama ataanza sergio roberto na yule Vidal
Bayern wanajua kabisa uzito wanaoenda kukutana nao leo, so wamedhitatiti mno.Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Uzuri ushindi wetu hautegemei imani yakoSina imani na nyie leo ..nahisi mnaenda kupigwa tena handcap
Haujielewi wwBayern ni Thiago
Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...
Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji
Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça![]()