Shughurikia faster hayo maturubai wanasema marehemu alikua na mdomo sana watu wasije wakasusa msiba.Jaman kamati ya maturubali niachien mm kwa kipind chote hiki cha msiba
Huu msiba ni mkubwa jaman tusiwaachie wenyeji tu


Mkuu Usiifananishe Yanga na mambo ya kijingaEt barcelona ni yanga inayolipa mshahara kwa wakat![]()

Mwanetu wenyewe aiseeCoutinho mtu mbaya
Hili ni Baraza la wazee la CCMNiambie yupi hapo hakucheza? View attachment 1537552


