Messi's goal and assist stats for every La Liga season [emoji41]
Yellow: [emoji117]Goals
Red: [emoji117]Assists
Wasatani wa kuscore ni goals 30+
Messi amehusika jumla ya Goals 40+ msimu huu, unaposema ufungaji umepungua unataka kumaanisha nini wakati jamaa amekuwa bora zaidi kusaidia Team kwa kufunga na kutoa assists nyingi kuliko msimu mwingne toka aanze mpira
Huoni kwa jicho la tatu Messi anaweza kucheza kama KIUNGO...
Niliposema ukagoogle nilitaka ukajiridhishe na pengne upate wasaa wakujifunza [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtu angekuwa na magoal 40 tungemwita mbinafsi,
Unapoongelea mpira jitahidi kugusa kila Angle....
Kwa ubora wa Messi na Dakika anazocheza kila msimu nilitarajia kupongeza tu kwa kuonyesha kiwango cha juu kila msimu, ambalo si jambo rahisi
Ikumbukwe msimu huu alipata majeraha yaliyomweka nje kwa siku kaza
Pamoja na kukaa nje bado Kabeba Pichichi
Unawezaje kusimama mbele za watu na kusema Messi kiwango kimeshuka?
Hapo hapo unasema kimeshuka kwa kufananisha na alichokifanya nyuma [emoji23][emoji23][emoji23] si kwa mlingano wa wachezaji wenzake...
Messi kiwango chake ni bora kila kukicha... Period
View attachment 1511410View attachment 1511411