OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Sisi Barca tunafanyiwa hujuma kwa sababu timu yetu ina wachezaji wengi Weusi.
Sidhani miaka mingi wamecheza pale kina etoo shida ni wivu tuSisi Barca tunafanyiwa hujuma kwa sababu timu yetu ina wachezaji wengi Weusi.
Anatakiwa asidrop point hata moja ...Bado point ngap tumshushe madirid?
Tatizo marefa wa La Liga wanawabeba sana R.MadridKati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja na kikombe kitarudi Camp Nou kama kawaida
Barcelona atashinda match zote zilizobakia
Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga
Ushindi wao mwembamba wa goli 1 sio bahati mbaya wana technical problem ya attacking line yao ....huwezi kuchukua ubingwa na forward mbovu kiasi kile
Mtashinda inshallahTuombeeni na sisi tushinde game ya kesho dhidi ya Alaves jamani.
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja.
Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja na kikombe kitarudi Camp Nou kama kawaida
Barcelona atashinda match zote zilizobakia
Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga
Ushindi wao mwembamba wa goli 1 sio bahati mbaya wana technical problem ya attacking line yao ....huwezi kuchukua ubingwa na forward mbovu kiasi kile
Laliga 2019-20
Baselona VS Madrid mechi ya kwanza iliisha kwa draw
Madrid VS Baselona mechi ya pili Madrid alishinda 2-0
Ili muongoze ligi inabidi mechi 3 kati ya 4 zilizobaki Madrid wapoteze zote au wafungwe moja na kudraw 2
Itawezekana?
Acha ushoga mama debora mliwa toboWe nae acha ushabiki maandazi.
Ukweli ni kwamba, Madrid tukipoteza game hata moja tu (mfano leo dhidi ya Alaves) ujue ubingwa tunaukosa.
tumewaacha point ngapi? barcaWe nae acha ushabiki maandazi.
Ukweli ni kwamba, Madrid tukipoteza game hata moja tu (mfano leo dhidi ya Alaves) ujue ubingwa tunaukosa.
Acha ushoga mama debora mliwa tobo
tu
tumewaacha point ngapi? barca
sawa
Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.
Ousmane Dembele ni mzuri sema majeruhi ndo kikwazo.
Mkuu kwahiyo Baca kajaza vijana sio?
Hapana, kumbe wewe hujui kinachokwamisha barca, Anaefanya barca isiendelee ni messi leo hii messi akiondoka pale barca itarudi katika uimara wake
Messi anampa priority sana suarez kwasababu ni marafiki wakubwa nila kuwaza kuwa he's very slow,na huu usenge wa "pass it to messi" hii kitu inafanya wachezaji wa barca wasubirie maamuzi kutoka kwa messi akati yeye mwenyewe saivi ni jua la jioni hawezi fanya vitu kama vya kipindi kile, Suarez needs to go na pia wachezaji wasimuangalie messi alipo kila wakipata mpira, kiukweli ile draw na celta iliniuma sana sikuile tulikua na uwezo wa kuwafunga hata goli 7, lakini tumeambulia magoli mawili kwasababu ya kila mchezaji akipata mpira anamtafuta messi
Eric Abidal na Batoromeu wote waondike tumechoka na maono yao ya kizee