FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bodi ya usajili imejaa utitiri kwanzia abidal na wenzie, hawafai kwendelea..na ifike mahala uongozi umpatie Messi jukumu linalohusu swala la "usajili" anaowataka yeye...

Kwanzia Foward, kati pale and all defenders fukuza kabisa....wabakie, Ansu, Puig, Lenglet, De jong..Bousquets and Braithwaite though umri nao umewatupa ila si haba, still wanajituma.

Dili la Lautaro sijui ndio limekufa hivyo! Huyu angetufaa sana sana...ana speed, nguvu, dribbling...ni striker aliekamilika hata umweke pembeni jamaa anakiwasha tu...
 
Huu ubingwa tunaeza nyang'anywa wazee..

Mambo ni ngumu ..tufanyeje?
Acha tumalize msimu without any troophy labda board ya barca ndo istashtuka
Kiukweli mimi batoromeu na abidal hata siwaelewi sijui wana malengo gani na hii timu

Na kingine hivi unajua messi akiondoka pale timu itakua ina perform vizuru sana niukize kwanini ntakwambia
 
Bodi ya usajili imejaa utitiri kwanzia abidal na wenzie, hawafai kwendelea..na ifike mahala uongozi umpatie Messi jukumu linalohusu swala la "usajili" anaowataka yeye...

Kwanzia Foward, kati pale and all defenders fukuza kabisa....wabakie, Ansu, Puig, Lenglet, De jong..Bousquets and Braithwaite though umri nao umewatupa ila si haba, still wanajituma.

Dili la Lautaro sijui ndio limekufa hivyo! Huyu angetufaa sana sana...ana speed, nguvu, dribbling...ni striker aliekamilika hata umweke pembeni jamaa anakiwasha tu...
Hapana, kumbe wewe hujui kinachokwamisha barca, Anaefanya barca isiendelee ni messi leo hii messi akiondoka pale barca itarudi katika uimara wake

Messi anampa priority sana suarez kwasababu ni marafiki wakubwa nila kuwaza kuwa he's very slow,na huu usenge wa "pass it to messi" hii kitu inafanya wachezaji wa barca wasubirie maamuzi kutoka kwa messi akati yeye mwenyewe saivi ni jua la jioni hawezi fanya vitu kama vya kipindi kile, Suarez needs to go na pia wachezaji wasimuangalie messi alipo kila wakipata mpira, kiukweli ile draw na celta iliniuma sana sikuile tulikua na uwezo wa kuwafunga hata goli 7, lakini tumeambulia magoli mawili kwasababu ya kila mchezaji akipata mpira anamtafuta messi

Eric Abidal na Batoromeu wote waondike tumechoka na maono yao ya kizee
 
Niliwahi kusema Messi auzwe imetosha ni moja ya watu wanaoigawa timu.

Unahitaji kuwa na akili za babu Ferguson kuweza ku-manage aging stars na kuhakikisha kwamba wanapunguziwa majukumu kadri umri unavyosogea.

Otherwise unajikuta uko kwenye wakati mgumu kama huu.

Barca haina sauti mbele ya huyu mwamba, ni kama imewekwa mateka.

Xavi na Iniesta muda ulipofika busara kubwa ilitumika na wao wakapisha, hawakuwa wabinafsi na waliweka maslahi ya timu mbele.

Messi ni mbinafsi.
 
Kabisa mkuu na ndo maana hata mastaa wanaokuja wanafeli sana lazima umlambe miguu ili uwe na maisha pale...nawapongeza Real Madrid walikataa huo upumbavu kwa Ronaldo japo wameyumba lakini unaona wanarudi kwenye nafasi yao.....

Tuendeleeekupigwa tu tena vipigo vya Mbwa koko mpaka akili ikae sawa.

Muda ukifika nature itachukua mkondo wake, sasa hivi acha wapambane kwanza.

Hawako pabaya sana ingawa hawako kwenye level tunayotaka kuwaona nayo.
 
Kabisa mkuu na ndo maana hata mastaa wanaokuja wanafeli sana lazima umlambe miguu ili uwe na maisha pale...nawapongeza Real Madrid walikataa huo upumbavu kwa Ronaldo japo wameyumba lakini unaona wanarudi kwenye nafasi yao.....

Tuendeleeekupigwa tu tena vipigo vya Mbwa koko mpaka akili ikae sawa.
Hivi baada ya ney kuondoka ni nani ambaye unahisi alikua mbadala wakumuweka?

Na baada ya iniesta unahisi ni nani alifaa pale kuchukua nafasi...

Mda mwingine unaweza ona bodi haikuwa kosa lao kumsajili wachezaji dembele na coutinho.. na hili ndio linalosababisha bodi ishindwe kuelewa watumie lamasia au wakawaida.
 
1593506000399.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom