FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uyu kocha wenu mpumbavu Sana,

Gemu ngumu Kama hii ya ubingwa unaingiza vitoto vinakata TU viuno uko mbele.

Mpaka Sasa hajajistukia TU kufanya substitution.
 
Utopolo
Screenshot_20200716-235651.jpg
 
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja na kikombe kitarudi Camp Nou kama kawaida

Barcelona atashinda match zote zilizobakia

Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga

Ushindi wao mwembamba wa goli 1 sio bahati mbaya wana technical problem ya attacking line yao ....huwezi kuchukua ubingwa na forward mbovu kiasi kile
.
 
Mkuu tutapoteza game ya mwisho, ila droo itabidi utupe uliyonayo. Iwe ya kabati sisi tutachukua tu.
 
Kati ya match zilizobakia Real Madrid hawataamini watapoteza moja na kutoa draw match moja na kikombe kitarudi Camp Nou kama kawaida

Barcelona atashinda match zote zilizobakia

Huu sio utabiri ,hizi ni expert calculations,hata marefa wakiwabeba Kama ilivyotokea match 3 zilizopita hawatachukua Laliga

Ushindi wao mwembamba wa goli 1 sio bahati mbaya wana technical problem ya attacking line yao ....huwezi kuchukua ubingwa na forward mbovu kiasi kile

Expert Calculations!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom