FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hahahahaaaaa,
jamaaa wanaringia majina makubwa tu kwa sasa..........overhaul inahitajika tena ifanywe kwa umakini zaidi
  1. pique
  2. lenglet
  3. bosquet
  4. semedo
  5. rakitic
  6. vidal
  7. suarez
  8. griezman
  9. dembele

Mpaka pale misimu mitatu itakapokatiza bila La Liga wala UEFA ndo akili zitawajia.

Acha waendelee kuvunja records za magoli ya Messi kwanza, timu baadae.
 
jokes 😛 😛 😛
We are very happy to sign a player who so excellently represents the FC Barcelona values and our way of understanding football. We’re sharing a winning project for Barça.
1593714465195.png
 
We are pleased to announce @DavidLuiz_4 has joined @FCBarcelona in an exchange deal with @jctodibo Arsenal
will pay us £5m as an addition fee. With the signing of @DavidLuiz_4 and @willy_caballero we continue to strengthen the team for the future.
1593714643457.png

1593714665376.png
 
We are delighted to announce @JesseLingard has signed for @FCBarcelona until 2027 in an exchange deal with @ANSUFATI Similarly, manutd will also help us by paying £10m as an additional fee to balance our book as usual. Welcome Jesse, We wish all the best for you career
1593714784104.png
 
Bodi ya usajili imejaa utitiri kwanzia abidal na wenzie, hawafai kwendelea..na ifike mahala uongozi umpatie Messi jukumu linalohusu swala la "usajili" anaowataka yeye...

Kwanzia Foward, kati pale and all defenders fukuza kabisa....wabakie, Ansu, Puig, Lenglet, De jong..Bousquets and Braithwaite though umri nao umewatupa ila si haba, still wanajituma.

Dili la Lautaro sijui ndio limekufa hivyo! Huyu angetufaa sana sana...ana speed, nguvu, dribbling...ni striker aliekamilika hata umweke pembeni jamaa anakiwasha tu...
Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.

Ousmane Dembele ni mzuri sema majeruhi ndo kikwazo.
 
Acha tumalize msimu without any troophy labda board ya barca ndo istashtuka
Kiukweli mimi batoromeu na abidal hata siwaelewi sijui wana malengo gani na hii timu

Na kingine hivi unajua messi akiondoka pale timu itakua ina perform vizuru sana niukize kwanini ntakwambia
Ni mpumbavu asiyeona mbali ndo anaweza akakupinga, ondoa Messi, kule mbele tia vijana. Ngoja ni lazima ichangamke.
 
Dah ni wakati sasa huyu dogo nae akatafute maisha pengine.
 
Attachments

  • Screenshot_20200703-143157.png
    Screenshot_20200703-143157.png
    368.6 KB · Views: 5
Daima Messi akipata ushirikiano mzuri barca hunoga sana
Shida yetu ni kijana mwenye kariba ya Neymar Jr, ndio sababu toka Dembele awe pembeni barca tumetaabika pakubwa
Suarez nae amekua si wa kutegemea sana tena amekua mkosa mkubwa wa nafasi za wazi huyu ameicost timu kwa kiwango kikubwa mno
 
Jana Surez kafunga lakin. Ama mnataka awe anafunga kuanzia goli mbili kwa mechi
 
Mkuu nakubaliana na wewe, hao watu wabaki tu ila akina Pique, Suarez, Griezmann wote ni wa kuwatimua.

Ousmane Dembele ni mzuri sema majeruhi ndo kikwazo.
Bona Suarez karibu kila mechi anafunga. TRNA mabao mengine anapiga hadi visigino! Mbona hamridhiki nyie?
 
Ni mpumbavu asiyeona mbali ndo anaweza akakupinga, ondoa Messi, kule mbele tia vijana. Ngoja ni lazima ichangamke.

Ondoa Messi? Messi huyu aliyetoa assist mbili jana na mechi ilopita alifunga mababo mawili?
 
Mnaosema Messi asiondoke mnatafakar kwa mapana? Messi atakaa hapo milele?

Leo hii twaishuhudia Madrid ilivyo baada ya kuondoka Ronaldo, tuachane na Ronaldo, turudi ktk Barca hii hii.

Kwanini Iniesta na Xavi mpaka leo nafasi yao inaonekana kuwa haijazibwa?

1. Tuliwaacha wacheze kwa miaka mingi, wakiwa ktk age ya 32 wangeweza kuuzwa.

2. Hatukuamini vijana ambao tulitarajia wangerithi nafasi zao au niseme hatukuwapa nafasi.

Leo hii timu kila ikishambulia ni lazima imtazame Messi, hii inafanya kila mchezaji ndani ya Barca asiwe na uhuru zaidi wa yeye kufanya atakacho ila ni lazima atazame nafasi ya Messi.
 
It's time to move on.
Kiwango kimepungua sana.
Timu inatakiwa ifumuliwe na isukwe upya
 
Ni rahisi tu
Asalie klabuni Messi, Hawa madogo wawili Puig na Ansu, Goal keeper, Ter stegen De jong, Sergio na braithwaite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom