FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Matatizo tu vijana wanataka kutupotezea ubingwa hivi hivi tusinyanyue makwapa asee

Wamenikera sana kamanda, wakiendelea na ujinga huo madrid ananyanyua...mpaka sasa tofauti ya point moja tu..tuwaombee leo wapoteze ama wadroo kabisa...
 
We nae acha ushabiki maandazi.
Ukweli ni kwamba, Madrid tukipoteza game hata moja tu (mfano leo dhidi ya Alaves) ujue ubingwa tunaukosa.
Shabiki usie maandazi je unafahamu baselona anahitaji kwa sasa angalau point 5 ili ndio aongeze ligi?

Shabiki usie maandazi point 5 zinatoka kwenye mechi ngapi?

Shabiki usie maandazi unafahamu Baselona akizipata hizo point 4 anozozidiwa na Madrid bado madrid atakua anaongoza kwa sheria ya head to head?

Shabiki usie maandazi unafahamu mpaka hapa Madrid ana game moja mkononi?
 
Laliga 2019-20

Baselona VS Madrid mechi ya kwanza iliisha kwa draw

Madrid VS Baselona mechi ya pili Madrid alishinda 2-0

Ili muongoze ligi inabidi mechi 3 kati ya 4 zilizobaki Madrid wapoteze zote au wafungwe moja na kudraw 2

Itawezekana?
Calculations zangu zipo very perfect ,follow my lead
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom