ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Wacha tuone leo na atretico
Hahaha veteran
Shkamoo jazz band
Its own goal. Diego kajifunga,ndo maana sijaleta GIF ya goli.
Hii free kick ingezaa goli,wiki nzima Messi angetambaView attachment 1493911Don Clericuzio
Hahaha, ila Messi ameshawahi kufunga free kicks za kutosha.
Nakumbuka hata mwaka jana UEFA alitulambisha moja kwenye zile 3 bila.
Tofauti na hizo zote hii ilikua inaandika goli la 700 bonge la historia
hii timu inapaswa imsajili ryan babel ili warudishe tena heshima yao..................
yule mwenye miaka 33 kutoka netherlandRyan Babel yupi?
yule mwenye miaka 33 kutoka netherland
ndiye mwenyeweYule aliyewahi kuchezea Liverpool?
ndiye mwenyewe
hahahahaaaaa,Okay, ninaamini unatania.
Labda kama kiwango chake kimeongezeka kweli, maana sijamfatilia muda.