Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,465
Balloon d'or leo wakuu nasikia Van Diyk anapewa tuzo
Balloon d'or leo wakuu nasikia Van Diyk anapewa tuzo
naona dalili za kumpora ili asimzidi jamaa wa juveHana chake huyo...tuzo ni ya King inajulikana hiyo...labda wampore tu 😀😀
naona dalili za kumpora ili asimzidi jamaa wa juve
Ishavuja list na Messi ndio mshindi w ballon d'or hii.Balloon d'or leo wakuu nasikia Van Diyk anapewa tuzo
Balloon d'or leo wakuu nasikia Van Diyk anapewa tuzo
mpira sio upadre neymar kazi yake uwanjani inajulikanaJack! Yule bishoo wa mahereni wanini!! Huku tunataka wastaarabu na wachapakazi, Kwanza pancha nyingi mno mda mwingi anakaa nje, in-short hatuoni anachofanya ...team inabebwa na watu wa 3...De maria, mbappe na Lcardi.
mpira sio upadre neymar kazi yake uwanjani inajulikana
wewe neymar kawaokoa PSG game 3 kama sio 4 anafunga goal moja dkk ya 90 mpira unaisha usimfananishe na hao wanaogawana magori game ya leharve wao sio wajinga mnara wa Paris kuuandika neymarAcha kumtetea weweInjury za kila siku wanini sasa...De maria, mbappe na Lcardi umeona kazi wanayoifanya? Yeye abaki kupiga selfie na musicians
huku tunahitaji watu wenye akili na wakakamavu haswaa na sio kulialia tu...
Angekuwepo Neymar,tusingekuwa point sawa na Real Madrid-na match za ugenini tusingekuwa tunabahatishawewe neymar kawaokoa PSG game 3 kama sio 4 anafunga goal moja dkk ya 90 mpira unaisha usimfananishe na hao wanaogawana magori game ya leharve wao sio wajinga mnara wa Paris kuuandika neymar
dembele mpiga nyeto ambae kila siku anaumia tumuiteje sasa kama Neymar ukimuita injury prone
mpira sio upadre neymar kazi yake uwanjani inajulikana
tatizo uyo aliyeandika ni mtu mwenye ulevi na watu wa miguu ya kushoto ndiyo maana anambamba dyabala na dimaria mbele ya NeyJrAngekuwepo Neymar,tusingekuwa point sawa na Real Madrid-na match za ugenini tusingekuwa tunabahatisha
Spanish radio's zinasema,kasi ya Messi ya sasa hivi,afadhali hiyo Baloon d'Or ya mwakani wamkabidhi kabisaMESSIX
Nauhakika bado moja na uefa moja
Spanish radio's zinasema,kasi ya Messi ya sasa hivi,afadhali hiyo Baloon d'Or ya mwakani wamkabidhi kabisa
saiv kidoqo imeanz kukaa sawa japo sio kivileeeeeee....i love this club.Barca chama langu limekuwa litimu la ovyo sana siku hizi . Damn it