FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hii team ndio ya kuchukua UEFA?
Messi akizidiwa hakuna wa kubadili matokeo na nashangaa kwanini Coutinho aliuzwa wakati pale benchi kuna wazee na watoto weng wasio na uzoefu

Huyu kocha hawezi kutupa ubingwa wa ulaya kama game za ugenini hawezi kushinda
 
Unashangaa nini sasa? Kwani hujaona msimu wa coutinho barca? Swala sio cou wala nini..

Ata tukileta masuperstar wote hatuwezi tukiendelea kuwa chini ya huyu kocha.
Tunao wachezaji wazuri sana kuliko hata stering, lkn angalia stering alivyo fanywa na kubadilishwa.

EV doesnt deserve barca Fullstop
hii team ndio ya kuchukua UEFA?
Messi akizidiwa hakuna wa kubadili matokeo na nashangaa kwanini Coutinho aliuzwa wakati pale benchi kuna wazee na watoto weng wasio na uzoefu

Huyu kocha hawezi kutupa ubingwa wa ulaya kama game za ugenini hawezi kushinda
 
IMG_20191104_093914_859.jpeg
 
Dembele grienz messi

Mara paap grienz hawekwi ka ST don valverde hatabiriki pumbavu yule
 
Griezman tumpe muda au?ameshindwa kabisa kua active leo...Dembele anakaa sana na mipira amesababisha tukose nafasi nyingi
 
Barca mwaka huu ikipata kikombe chochote itakua kwa neema tu,huwezi wazingua watu waliokua tayari kutolipwa stahiki zao ili ney arudi then unawaangusha.Pesa ya griezman wangeongeza wangempata neymar...wanamuangusha Messi kushinda balloon....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom