FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Duuh,magazeti ya Spain yanasema hivi,Sergio Roberto na Raktic unaweza vipi kuwaweka bench kwa sasa hivi.Sergio akipanda Raktic anaziba nafasi-What next for Semedo??
 
Kumbe maongezi yanaendelea ili dogo huyu Wa Argentina tumchukue,awali ilipangwa Vidal na Ractic wahusishwe kwenye deal lakini sasa wawili hao watasalia camp nou.
Dogo huyu atatufaa Lautaro Martinez 22Yrs old
lautaro-martines-of-fc-inter-in-action-during-the-uefa-champions-f-picture-id1193718353.jpeg
lautaro-martinez-of-fc-internazionale-competes-for-the-ball-with-of-picture-id1193718389.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beki wamechomesha hapa jamaa wamesawazisha 2-2..
Yaani na utu uzima wrote huu Shakira anashindwa kufanya markings?
Beki yetu bhana sometimes ..MTU anakuja mbio kutushambulia badala ya kum
kaba wanakimbilia kwa Ter stegen!
Tukitoka salama hapa ni kushukuru mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka la siku hizi limekua la ajabu. Huu sio uungwana

fans throwing stuff at messi from the stand
1576342048278.gif
 
Beki wamechomesha hapa jamaa wamesawazisha 2-2..
Yaani na utu uzima wrote huu Shakira anashindwa kufanya markings?
Beki yetu bhana sometimes ..MTU anakuja mbio kutushambulia badala ya kum
kaba wanakimbilia kwa Ter stegen!
Tukitoka salama hapa ni kushukuru mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shakira kacheza Sana,King Messi leo was 50/50
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom