FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Broken arrow
Borrusia iko kwenye crisis ,imevunjwa vunjwa katikati na midfielder za Barca wanapoteza sana mipira

I wish goli 5 hadi 6 ndio stahili yao
 
Messi messi messi...
Huyu Dembele naona ndio basi tena maana jana imebidi alie machozi alipokua anatoka baada ya kujitonesha majeraha
 
Griezman naona game hii ameweza kumsoma Messi.When Messi is coming with the ball Suarez knows exactly which path the ball will be channeled.Griezman it now seems is getting there reading Messi's mind and anticipating the balls path.This according to El Mundo is bad news for opponents
 
Bossiwetu kaukwaa kiutani utani
IMG_20191128_185404.jpeg
 
Griezman,mfumo wa Barca hauwezi-itapendeza kama PSG wakimchukua January na kutupa Neymar wetu


Jack! Yule bishoo wa mahereni wanini!! Huku tunataka wastaarabu na wachapakazi, Kwanza pancha nyingi mno mda mwingi anakaa nje, in-short hatuoni anachofanya ...team inabebwa na watu wa 3...De maria, mbappe na Lcardi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom