FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mambo ya kitumbua hayoo
IMG_20191210_061637_022.jpeg
 
Dah siamini kama wale watoto wamemchapa mtu mzima Inter Milan

Ansu Fati is on

Messiah jana hakuwepo?

Uyu Liverpool tunamngoja kwa hamu sana..

Viva Barca, Viva Chelsea..
 
Dah siamini kama wale watoto wamemchapa mtu mzima Inter Milan

Ansu Fati is on

Messiah jana hakuwepo?

Uyu Liverpool tunamngoja kwa hamu sana..

Viva Barca, Viva Chelsea..
Wakongwe walianza wanne tu Ractic/Captain,Arturo Vidal,Umtiti na Griesmann
Mwishoni wakaingia Suarez,De jong na Ansu.
Hata Todibo nae atakuja kua hatari yule dogo..kuliko huyu Wague bado kwakweli.
Carles Perez alionyesha umahiri wake pale alipotikisa nyavu goli la kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom