FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwa style hii sidhani kama Messi atacheza hadi akifika umri wa miaka 45 kama watu wanavyosema
 
Kwa style hii sidhani kama Messi atacheza hadi akifika umri wa miaka 45 kama watu wanavyosema
 
We heavily depend on Messi and he has/is giving too much
It's time now for transformation ya tactics ambazo yeye akikabwa sana watu wengine wawe wanafunga
What Velverde did hakubadilisha kitu hata kimoja ,amecheza kama first match (a big mistake) ,Liverpool first leg tumewafunga kwa sababu the were not clinical but walitengeneza nafasi nyingi tu sana ,he was supposed to block them

Jordi Alba -space was being exploited na Liverpool pindi tu anapoenda kushambulia mbele
Coutinho-pyschologically the guy is not fit
 
Ungewalaumu toka mwanzo waliposhinda goli 3.au wamecheza watu wengine ama?
 
Hakitasaulika ... Liver ndio bingwa wa kupindua mechi, achana na timu zetu wala chipsi tu
Hichi ni kipigo cha mbwa koko,hawa jamaa wameshaathirika kisaikolojia.wanahitaji msaada.
 
Mpaka ikabidi Sergio awe ndio anaendesha timu wakati yeye kazi yake kuakikisha nyuma kupo safe... Mechi zote anaanza arthur kuakikisha timu inatulia dogo anajua kusoma mchezo tazama alivyoingia Liverpool kati wakawa wametulia wewe unamuweka holding wawili si ufala huu hata na roma alifanya hivyo hivyo kaweka paulinho mshenzi kabisa anaondoa philosophy ya barca analeta usenge wake huyu akitoka barca hakuna timu kubwa inayoweza kumchukua na mfumo wake wa kupaki basi
 
Mimi nilivyoona kikosi nikasema hiki nini tena yani mwalimu mzima kama amecheza kamali maana hata na roma kikosi cha first leg kapanga hicho hicho.....mimi sijawahi kumkubali huyu mwalimu siku zote nasema ni mzimamizi wa mazoezi....hakuna mwalimu ambae hajui mahitaji ya mechi husika huyu ni mwalimu wa ovyo kufundisha barca tata martino alikuwa ovyo huyu mshenzi amezidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…