FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bila kupiga lile goals nilishaandaa matusi ndoo mbili
Lakin namvutia muda tu, somtyms anazingua sana japo ni mpambanaji

Kingine Suarez ni moja kati ya best friend wa messi, mtoto wa boss nae boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Luis Suárez: “It hurts to see Messi critcized with Argentina and say he takes his friends to the national team. I’ve been at Barça for 5 years and never heard him say anything about coaches, nor who he’d prefer. When they ask him he says: “You guys do what you want.” [edg via md]
 
Yeah angeweza kufunga hata goli 3 ila basi tu nae anapenda na wenzie wafunge...sema ndo ivyo akiwapa wanapoteza.
IMG_20190407_001758.jpeg
 
Luis Suárez: “It hurts to see Messi critcized with Argentina and say he takes his friends to the national team. I’ve been at Barça for 5 years and never heard him say anything about coaches, nor who he’d prefer. When they ask him he says: “You guys do what you want.” [edg via md]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wale wanaoibeza Barca niwaambie tu siri moja ...

Our team ina spirit au mentality ya ushindi 100%
When they play ,they wanajiona wanastahili kushinda ,ogopa sana huo moyo ...look at their paces...,movements,faces ..utagundua na mbaya zaidi hua wanabadilika sana (switching patterns and spaces wanapokua wanajenga attacks)
Kama umegundua tunashambulia kushoto,kulia na katikati

Atletico nadhani wakiulizwa kuhusu mtoto Malcom alieingia dakika chache watakufukuza kwao ,,Man U ..jiandaeni sana na Dembele....
 
Dembele aachwe game ya kesho kutwa, aendele kuwa fit Manyumbu wakutane nae Camp Nou!

Akina Smalling watakimbizwa mpaka watoe ulimi kama soksi.

Alafu Barca tumekua na mtindo wa kushinda mida ya lala salama. Mida ya kuku kurudi bandani. Yani ikifika dakika ya 80 ndio mechi inaanza kwa upande wa Barca.

Najiuliza tu, the best defense in Europe couldn't stop us, vipi hawa akina Smalling na Jones nini kitawakuta?

- KANA -
 
Mimi nacheka nasema hiiiiiiiiii
IMG-20190407-WA0007.jpeg
 
Barça 2018/19

33W 11D 4L
Goals 121-45
CS 19
Goals Leo 43
Luis 23
Ous 14
Cou 10
Pique 7
Raki 5
Malcom 4
Alba Vidal Munir Denis 2 Rafa Leng Alena Semedo Sergi

Assist Leo 18
Alba 13
Luis 10
Raki 9
Ous 7
Sergi 6
Cou Vidal 5
Arthur Busq Pique Malcom 2
Umtiti Semedo Munir Puig
 
Hv nyinyi mbona big match lazma ipatikane red card mnaloga sana mbafff

Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona Ndo timu ambayo imeweza kumbadilisha Suares kutoka kwenye utukutu na kua mtu mstaarabu.
Angalia pia Vidal saizi kabadilika mno. Lengo ni kukujibu tu Barcelona Ndo timu inaongoza kucheza mpira wa kistarabu na Wenye burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni 22 lakin mna post wote 30 kuringishia kikos? Mbn City na Tot hawafanyi huu unaz.....na hii hatua mnaeza ona ni chungu
Daaaaaaah we jamaa vip?
Umefafanuliwa lakini bado uelewi, hizo ni namba za mgogoni za wachezaji sio idadi ya wachezaji, hapo wachezaji wako 22

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom