FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Kama ilivo hatari kukutana na Barca Nou Camp akiwa anahitaji ushindi ndo hivo hivo ilivo kukutana nae fainali, ni wabaya sana hawa watu. Unaweza kukutana na timu yenye mixer ya simba, faru, mbogo, viboko, nyegere akiwa na demu wake, nyuki nk ukapata ushindi ila sio kwa hawa jamaa wakishaliona kombe ile wanatoka vyumbani kuingia uwanjani
 
leo Arturo atatulia nje, ataanza Arthul, Barca atacheza mpira mwingi sana leo, Liverpool anakufa Anfield.
 
semedo akianza mkuu, yule mwehu mane hawezi kutusumbua sana, napendekeza pia arthur kuanza game hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…